Skip to main content
Skip to main content

Familia ya Pipeline yadai haki baada ya mama kuuawa kwa risasi

  • | Citizen TV
    4,914 views
    Duration: 3:46
    Familia moja mtaani Pipeline, Nairobi, inadai haki baada ya mama mmoja kupigwa risasi na polisi, huku risasi hiyo pia ikimpata mwanawe mwenye umri wa miaka 16. Mama huyo alifariki kutokana na majeraha, huku kijana akiendelea kupokea matibabu. Kwa sasa, familia na wanaharakati wanataka majibu kuhusu ilikokwenda risasi iliyotolewa mwilini mwa kijana huyo.