Skip to main content
Skip to main content

Familia ya Rombo yataka serikali kumsaidia mama yao anayodaiwa kuzuiliwa Tanzania

  • | Citizen TV
    1,066 views
    Duration: 2:55
    Familia moja katika eneo la Rombo Kaunti ya Kajiado sasa inataka serikali kuwasaidia kumpata mama yao, ambaye wanadai anazuiliwa nchini Tanzania. Margaret Kanai anaaminika kuchukuliwa na maafisa wa usalama wakati wa msako baada ya uchaguzi alipokuwa katika shuguli za kibiashara nchini humo. Aidha mmoja wa wanawe alitoroka na kusimulia madhila aliyopitia alipokuwa mikononi mwa polisi Tanzania