Skip to main content
Skip to main content

Familia yawasilisha mwili kituoni ikitaka majibu kuhusu kifo cha jamaa yao

  • | Citizen TV
    5,784 views
    Duration: 2:50
    Taharuki ilitanda katika Kituo cha Polisi cha Kanyuambora, eneobunge la Mbeere North, kaunti ya Embu, baada ya familia ya mwanaume mwenye umri wa miaka 29 kuwasilisha mwili wake kituoni humo. Familia hiyo ilidai majibu kuhusu kilichosababisha kifo cha jamaa yao na kuwataka maafisa wa polisi kusoma hadharani kitabu cha rekodi za kituo hicho kinachoeleza matukio yaliyochangia kifo chake akiwa seli. Baadaye familia hiyo iliendelea na shughuli za mazishi.