- 10,711 viewsDuration: 2:21Kinara wa DCP Rigathi Gachagua ameonekana kubadili msimamo wake kuhusu Naibu Rais Kithure Kindiki, huku sasa akisema hakaribishwi tena chamani mwake. Siku chache zilizopita, Gachagua aliwaambia wandani wake kukoma kumsuta Naibu Rais kwa kuwa anatoka Mlima Kenya. Hata hivyo, Gachagua leo akimlenga Kindiki akisema atajipanga endapo atakumbwa na msukosuko wowote serikali. Melita Oletenges anaarifu zaidi.