- 4,066 viewsDuration: 3:48Kinara wa DCP Rigathi Gachagua ameisuta Serikali ya Rais William Ruto kwa Kutoa ahadi za Uongo kwa Wakenya na kuishia kujinufaisha badala ya Kutekeleza aliyoahidi. Akitoa hotuba yake kuhusu Miaka minne ya Rais William Ruto mamlakani, Gachagua amesema Uongozi wa Ruto umekumbwa na mapungufu mengi ya kimaendeleo pamoja na kutumia idara tofauti za serikali kuwakandamiza wakosoaji wa serikali.