- 9,015 viewsDuration: 2:42Kinara wa chama cha DCP Rigathi Gachagua amesema kwamba ni yeye ndiye pekee aliye na nafasi bora katika upinzani wa kumuondoa rais William Ruto mamlakani. Wakati huo huo viongozi wengine wa chama hicho wamekashifu baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani kwa kumdharau kinara wa chama chao cha DCP