Skip to main content
Skip to main content

Gachagua amkaribisha Sifuna kwenye makazi yake Nyeri

  • | KBC Video
    615 views
    Duration: 2:37
    Mkataba wa kisiasa kati ya chama cha DCP cha Rigathi Gachagua na mrengo wa Linda Mwananchi unaoongozwa na Edwin Sifuna unaonekana kana kwamba utaafikiwa kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Katika dalili dhahiri, kiongozi wa chama cha DCP Rigathi Gachagua,punde tu alipowasili kutoka ziara yake ya Marekani alikuwa mwenyeji wa ujumbe wa Linda Mwananchi katika makao yake ya Wamunyoro huko Nyeri. Viongozi hao wa upinzani walisema mkutano wao ulijadilia sehemu muhimu za ushirikiano na Gachagua, wakisema yuko tayari kumuunga mkono muwaniaji yeyote wa urais wa upinzani kwenye uchaguzi mkuu ujao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive