- 2,447 viewsDuration: 2:57Kinara wa DCP Rigathi Gachagua ameendeleza mashambulizi yake dhidi ya Mkurugenzi wa DCI Mohamed Amin, sasa akidai maafisa wawili wanaodaiwa kusakwa walikamatwa na kuachiliwa kwa njia tata wiki jana. Gachagua amedai wawili hao wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya Daktari Victoria Mutiso waliachiliwa baada ya kutishia kutoa siri ya namna serikali imekuwa ikiwavamia wanasiasa wa upinzani. Ni madai ambayo DCI imekanusha, kama Gatete Njoroge anavyotuaarifu.