Skip to main content
Skip to main content

Gachagua amshutumu Amin kwa kupuuza malalamishi ya usalama

  • | Citizen TV
    6,090 views
    Duration: 2:34
    Kinara wa DCP, Rigathi Gachagua, ameendelea kumshutumu Mkurugenzi wa Upelelezi wa Jinai (DCI), Mohammed Amin, kwa kile anachosema ni kutowajibikia masuala muhimu ya usalama. Gachagua anadai kuwa malalamishi ya wanasiasa wanaopinga serikali yameendelea kupuuzwa, licha ya ripoti za vitisho dhidi ya maisha yao. Melita Oletenges anaarifu zaidi.