Skip to main content
Skip to main content

Gachagua awataka wapinzani kuwa na subira kuhusu mgombea wa urais

  • | Citizen TV
    4,992 views
    Duration: 2:56
    Kinara wa DCP Rigathi Gachagua amesema hakuna migawanyiko ndani ya vyama vya upinzani. Akiwa katika eneo bunge la Kajiado ya Kati, Gachagua aliwataka wafuasi wa upinzani kuwa na subira huku viongozi wakitafuta mwafaka kuhusu atakayeteuliwa kupeperusha bendera ya urais katika uchaguzi mkuu ujao.