Skip to main content
Skip to main content

Gachagua: Viongozi waliochaguliwa kwa UDA wataona cha mtema kuni katika uchaguzi mkuu ujao

  • | KBC Video
    1,257 views
    Duration: 2:34
    Aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua, alianza rasmi ziara yake katika ngome yake ya kisiasa, eneo la Mlima Kenya siku ya Jumamosi, katika juhudi za kuendeleza na kukitangaza chama chake cha kisiasa cha kuelekea uchaguzi wa 2027, Democracy for Citizens Party. Haya yanajiri siku chache baada ya rais William Ruto na mrengo wa Kenya Kwanza, kupinga kambi eneo hilo kuzindua mpango wa Nyota. Gachagua alipita maeneo ya Kigumo, kaunti ya Kirinyaga na eneo la Karatina liliko eneo la kaunti ya Nyeri, ambapo aliwakemea viongozi waliochaguliwa kwa tiketi ya chama cha United Democratic Alliance (UDA), akiwahidi cha mtema kuni katika uchaguzi mkuu ujao Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive