Skip to main content
Skip to main content

Gavana Guyo awafuta kazi mawaziri wawili katika baraza lake

  • | Citizen TV
    1,145 views
    Duration: 1:21
    Gavana wa Isiolo Abdi Guyo amefanya mabadiliko makubwa katika serikali ya kaunti hiyo baada ya kunusurika kwenye jaribio la kufurushwa ofisini. Guyo aliwafuta kazi mawaziri wawili, akamwondolea majukumu naibu gavana na kupunguza idadi ya maafisa wakuu kutoka 31 hadi 21. Guyo alitangaza hayo kupitia taarifa rasmi ya amri ya utendaji iliyosomwa na mratibu wa mawasiliano wa kaunti hiyo, Hussein Salesa.