- 347 viewsDuration: 4:17gavana wa samburu lati lelelit anahojiwa na kamati ya seneti kuhusu matumizi ya pesa za umma za mwaka wa fedha wa 2024/25. ikukbukwe kuwa gavana lelelit aliwahi kukwepa kikao cha kamati hiyo ya seneti alipohitajika kujibu maswali kuhusu mnatumizi ya pesa za kaunti hiyo.