MASAIBU YA WAMATANGI
Gavana wa kaunti ya Kiambu Kimani Wamatangi amedai maisha yake yamo hatarini. Akiongea katika kaunti ya Kiambu, Wamatangi alidai lipo gari ambalo lilikuwa likifuatilia mienendo yake jijini Nairobi alilokuwa akitekeza majukumu yake rasmi. Wamatangi anamrai Inspekta Jenerali wa polisi Douglas Kanja, kuchukua hatua kumlinda akidai waliokuwa kwenye gari hilo walikuwa na nia ya kumdhuru.
#Darubini
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive