Skip to main content
Skip to main content

Gavana wa Nyandarua, Dkt. Moses Kiarie Badilisha, aamuru kufungwa baa zote katika Wadi ya Cheragita

  • | Citizen TV
    3,857 views
    Duration: 2:24
    Gavana wa Nyandarua, Dkt. Moses Kiarie Badilisha, aamuru kufungwa mara moja kwa baa zote zifanyazo kazi katika kituo cha biashara cha mwisho wa rami, Wadi ya Cheragita, Eneo bunge la Ol-Joro Orok, kufuatia malalamiko ya umma kuhusu kuenea kwa uuzaji wa pombe haramu.