- 3,724 viewsDuration: 2:46Ghasia zilitibua sherehe za maadhimisho ya Siku ya Mashujaa katika kaunti ya Meru baada ya msafara wa aliyekuwa gavana Kawira Mwangaza kuvamiwa. Mwangaza amelaani tukio hilo na kuwalaumu wapinzani wake wa kisiasa kwa madai ya kuwatuma vijana kumshambulia. Maryanne Nyambura anaarifu kuwa kaunti mbalimbali nchini pia ziliadhimisha Siku ya Mashujaa kwa shughuli tofauti.