Skip to main content
Skip to main content

Harambee Starlets warejea nchini baada ya kuondolewa WAFCON

  • | Citizen TV
    300 views
    Duration: 42s
    Timu ya taifa ya wanawake ya Kenya, Harambee Starlets, ilirejea nchini jana usiku baada ya kuondolewa katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) katika hatua ya makundi.