- 8,430 viewsDuration: 49sUmati wa watu ulikusanyika Gaza wakati maharusi 300 walipofunga ndoa ya pamoja. Tukio hilo lililofanyika Deir al-Balah kama sehemu ya mpango wa Umoja wa Falme za Kiarabu wa kutoa msaada kwa Wapalestina wa Gaza. Mmoja wa maharusi, Thekra al-Masri, aliambia BBC jinsi sherehe hiyo ilivyoleta ‘matumaini ya mabadiliko’ kwa Wapalestina waliopoteza makazi. Kumekuwa na makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza tangu Oktoba iliyopita. #bbcswahili #gaza #harusi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw