Skip to main content
Skip to main content

Hazina ya wanafunzi werevu

  • | Citizen TV
    136 views
    Duration: 1:29
    Serikali na Washikadau wa Elimu wameombwa kuunda mfumo wa kutoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi wasio na uwezo kifedha . Wazazi, na walimu kutoka Meru wakizungumza wakati wa kupokea ufadhilii wa masomo kutoka sekta binafsi, wameomba serikali kuwatambua wanafunzi wa nyanja za chini wasio na uwezo wa kulipa karo kwa sababu ya uchochole licha ya kuwa ni werevu mno.