6 Jun 2026 7:46 pm | Citizen TV 727 views Duration: 2:32 Jamaa na marafiki waliungana katika kutoa heshima zao za mwisho kwa marehemu Frank Mulama, babake mhandisi mwandamizi wa kampuni ya Royal Media Services Charles mulama katika eneo la Naitiri, kaunti ya Bungoma.