- 6,201 viewsDuration: 1:48Wakazi wa Mwingi wamegubikwa na hofu kufuatia kupatikana kwa vipande vya miili ya binadamu vilivyodaiwa kuzikwa katika maeneo ya mji huo. Tukio hilo limezua maswali na wasiwasi kuhusu uwezekano wa kuwepo kwa makaburi ya halaiki, huku maafisa wa usalama wakianzisha uchunguzi kubaini ukweli wa madai hayo na mazingira yaliyosababisha tukio hilo.