Skip to main content
Skip to main content

Hospitali ya Homa Bay yaomba wananchi kutambua miili

  • | KBC Video
    161 views
    Duration: 2:05
    Usimamizi wa hospitali ya mafunzo na matibabu maalum ya kaunti ya Homa Bay, imetoa wito kwa wananchi kusaidia kutambua miili 14 ambayo haijachukuliwa kutoka kwa hifadhi ya maiti ya hospitali hiyo. Mkurugenzi wa hospitali hiyo dakta. Vincent Oduor, alisema wamepata agizo la mahakama litakalodumu kutoka Alhamisi tarehe 8 hadi Jumamosi tarehe24 mwezi huu, ili kutoa nafasi kwa wananchi kutambua miili hiyo kabla ya kuzikwa au kutolewa kwa vyuo vya utatibu vitakavyoihitaji. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive