Skip to main content
Skip to main content

Hoteli ya maeneo ya burudani yamejaa pomoni

  • | Citizen TV
    8,462 views
    Duration: 3:01
    Eneo la Pwani limefurika watalii wa kutoka humu nchini na nje huku hoteli zikijaa pomoni na baadhi ya wageni wakilazimika kutafuta nyumba za kukodisha. Wadau wanasema kuwa hali hiyo imesababishwa na kuongezwa kwa safari za treni, utulivu wa kisiasa na machafuko nchini Tanzania.