Skip to main content
Skip to main content

ICJ yaonya kuhusu kuibuka kwa magenge ya kisiasa kuelekea 2027

  • | Citizen TV
    331 views
    Duration: 2:53
    Mashirika ya kijamii pamoja na taasisi za usalama nchini zinaeleza wasiwasi kuhusu kuibuka kwa magenge ya kisiasa, mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu wa 2027. Kituo cha Wanasheria wa Kimataifa (ICJ) kimesema magenge yaliyoshuhudiwa katika miezi ya hivi karibuni si ishara nzuri kuelekea uchaguzi. ICJ ilitoa kauli hiyo wakati wa kikao na taasisi za serikali kuhusu masuala ya usalama. Mary Muoki anaarifu.