15 Sep 2026 10:59 am | Citizen TV 427 views Duration: 1:55 Wanaharakati wa kijamii kaunti ya Taita Taveta sasa wanataka suala la dhulma hasa miongoni mwa watoto kushughulikiwa vilivyo kwani idadi ya visa hivyo inazidi kuongezeka.