Skip to main content
Skip to main content

IEBC yakabiliwa na upungufu wa Sh33 bilioni kuelekea uchaguzi wa 2027

  • | Citizen TV
    1,175 views
    Duration: 2:29
    Bajeti ya IEBC ina upungufu wa zaidi ya shilingi bilioni 33. Tume hiyo ilikuwa imeashiria kuwa inahitaji shilingi bilioni 74.8 ili kuandaa uchaguzi mkuu wa mwaka 2027, ila imetengewa shilingi bilioni 41.3. IEBC inasema ilihitaji pesa hizo ili kugharamia vifaa vipya vya kuwatambua wapiga kura, usimamizi wa vituo zaidi vya kupigia kura, usajili na uthibitisho wa sajili ya wapiga kura miongoni mwa matumizi mengine muhimu.