- 1,450 viewsDuration: 2:23Tume ya uchaguzi nchini IEBC imeratibu matumizi ya pesa za kampeni huku wanaotaka kuwania urais sasa wakitakiwa kutotumia zaidi ya shilingi bilioni 6.1. Kwenye kanuni hizi, matumizi ya maeneo bunge na ugavana yamewekwa kuambatana na ukubwa wa kimaeneo na watu, kama Brenda Wanga anavyoarifu.