Skip to main content
Skip to main content

Ifahamu China: Biashara kati ya China na mataifa ya ASEAN

  • | KBC Video
    41 views
    Duration: 3:27
    Takwimu za Idara ya Forodha ya China (GAC) zinaonesha kuwa biashara kati ya China na mataifa ya kanda ya ASEAN ilifikia kiwango cha kihistoria katika miezi minane ya kwanza ya 2025, ikionesha ukuaji wa asilimia 9.7. Ushirikiano wa karibu katika sekta za kilimo na utengenezaji bidhaa umechochea ongezeko hili, huku bidhaa zilizotengenezwa zikichangia zaidi ya asilimia 90 ya biashara hiyo. Maelezo zaidi katika Makala ya ifahamu China Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive