Bustani ya kwanza kubwa zaidi duniani ya maudhui ya roboti imefunguliwa mjini Zhuhai, kusini mwa China, ikiwa na zaidi ya roboti 300 za humanoid zinazohudumia na kuburudisha wageni. Bustani hiyo inatoa zaidi ya huduma 100 zinazowawezesha wageni kutangamana moja kwa moja na roboti. Maelezo zaidi katika makala ya ifahamu China
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive