- 300 viewsDuration: 5:04Maadhimisho ya miaka 80 ya ushindi wa Vita vya Watu wa China dhidi ya uvamizi wa Japan wakati wa Vita vya Pili vya Dunia yalifanyika mjini Beijing. Sherehe hiyo ilihudhuriwa na Rais Xi Jinping pamoja na viongozi 26 wa mataifa mbalimbali, wakiwemo Vladmir Putin na Kim Jong Un. Maelezo zaidi katiia Makala ya Ifahamu China Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive