Msururu wa hatua za kudhibiti mchanga umetumika kulinda Mapango ya Mogao, yaliyoko Gansu, China, dhidi ya kuporomoshwa na upepo na mchanga wa jangwani. Juhudi hizi zimepunguza uharibifu wa sanamu na michoro iliyo kwenye kuta za mapango hayo na kufanikisha uhifadhi. Haya ni katika Makala ya Ifahamu China
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive