- 270 viewsDuration: 2:36Mtandao wa China wa usafirishaji mizigo kwa ndege kimataifa umepanuka katika miezi minane ya kwanza ya mwaka huu. Taifa hili limefungua njia mpya 115 za kimataifa za usafirishaji mizigo nchini humo. Haya ni kwa mujibu wa Shirikisho la china la Usafirishaji na Ununuzi.Maelezo zaidi katika makala ya ifahamu china Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive