Skip to main content
Skip to main content

Ifahamu China: Uungwanishwaji wa vijiji

  • | KBC Video
    148 views
    Duration: 2:44
    Watoto wa kijiji cha Nizhuhe katika mkoa wa Yunnan, kusini-magharibi ya China, sasa wanaweza kufika shuleni kwa dakika 30 badala ya zaidi ya saa tatu.HII NI kutokana na Mradi mpya unaojulikana kama "sky school bus,"ambao pia umefungua fursa mpya za biashara na utalii kwa wakazi wa eneo hilo.Maelezo zaidi katika makala ya ifahamu China Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive