- 990 viewsDuration: 1:37Mamlaka ya Maendeleo ya Nchi za Pembe ya Afrika, IGAD, imependekeza kuanzishwa kwa Viza Moja ya Kidijitali kwa nchi wanachama na raia wa mataifa ya nje ya kanda ili kurahisisha safari, kukuza utalii, na kuvutia uwekezaji. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya