Skip to main content
Skip to main content

Jaji Mkuu na Jaji Mohammed wapinga ombi la kujiondoa kwenye kesi ya ruzuku ya magari kwa majaji

  • | KBC Video
    1,028 views
    Duration: 3:23
    Jaji mkuu, Martha Koome, amepinga ombi la tume ya mishahara na marupurupu lililomtaka yeye na Jaji Mohammed Warsame wajiondoe kwenye kesi kuhusu ruzuku ya magari ya shilingi Milioni 10 kwa majaji. Tume hiyo ilikata rufaa dhidi ya uamuzi wa mahakama kuu na ile ya rufani wa kudumisha malipo hayo ya majaji, ikisema kiasi hicho cha fedha ni mzigo kwa Wa-Kenya. Mahakama ya upeo sasa inatarajiwa kutoa uamuzi wake. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive