- 2,468 viewsDuration: 1:37Jaji wa Mahakama ya Upeo Njoki Ndungu Pamoja na Hakimu Mkuu Everylne Olwande, wameapishwa hii leo kuwa makamishna wa tume ya huduma za mahakama kwa muhula wa miaka mitano katika hafla iliyohudhuriwa na Jaji Mkuu martha Koome.