Skip to main content
Skip to main content

Jamii ya Iteso kuandaa tamasha la kitamaduni

  • | KBC Video
    203 views
    Duration: 1:53
    Wageni zaidi ya 50,000 na wafalme wa kitamaduni 80 wanatarajiwa kuhudhuria tamasha ya kitamaduni ya jamii ya Iteso katika kaunti ya Busia mwishoni mwa mwezi huu ambayo pia itajumuisha maadhimisho ya miaka minne tangu kutawazwa kwa chifu mkuu wa jamii hiyo, Papa Emorimor Paul Sande Emolot Etomeileng Wa Tatu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive