Skip to main content
Skip to main content

Jamii za wa Ongiek na Wadororo zataka zigawiwe shamba

  • | Citizen TV
    147 views
    Duration: 1:34
    Jamii za Ogiek na Dorobo wanaoishi kaunti ya Nandi na ambao walifurushwa kutoka msitu was Serengonik na Cherobon miaka kadhaa iliyopita, wameomba Serikali kuharakisha mchakato wa kuwapa makazi ili kutatua changamoto wanazozipitia kama maskwota .