16 Jan 2026 7:27 pm | Citizen TV 292 views Duration: 35s Mshambulizi John Mark Makwatta ameanza safari yake ya Mathare United kwa kufunga bao la pekee na la ushindi kwenye mechi ya ligi kuu ya taifa dhidi ya Ulinzi Stars. Makwata alijiunga na Mathare United mwezi huu kutoka Bandari