- 632 viewsDuration: 3:49Imekuwa siku ya kulimbikiziana lawama kwa wagombea wa vyama vya UDA na DCP katika kampeni za eneo bunge la Ol Kalou kaunti ya Nyandarua kwa kuhusika kwa visa vya kuhonga wakazi na kutishia wanaounga mirengo tofauti kati ya vyama hivyo viwili. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya