Skip to main content
Skip to main content

Juhudi zafanywa kuimarisha sehemu wanakoishi nyani Samburu

  • | Citizen TV
    1,767 views
    Duration: 5:36
    Kuharibiwa kwa mazingira na binadamu, ongezeko la watu na mabadiliko ya tabianchi ni muiongoni mwa sababu zinazoaathiri makazi ya aina tofauti ya nyani ambao wana umuhimu mkubwa kwa mazingira yetu. Watafiti wanasema ili kufaulu katika kulinda wanyama hawa ni lazima jamii ihusishwe katika maswala ya uhifadhi na utangamano na wanyama hawa.