Skip to main content
Skip to main content

Juma la huduma za urekebishaji tabia lang’oa nanga

  • | KBC Video
    399 views
    Duration: 3:08
    Naibu rais Profesa Kithure Kindiki ametoa wito kwa idara ya huduma za urekebishaji tabia kukita ajenda yake ya mabadiliko katika mifumo ya kitaifa ya sera iliyoko. Prof. Kindiki aliyasema hayo alipofungua rasmi juma la nne la huduma za urekebishaji tabia jijini Nairobi. Alizihimiza taasisi za urekebishaji tabia kulainisha mipango yao ya kidijitali na mpango mkuu wa kitaifa wa kidijitali wa mwaka 2022-2032, mpango wa kitaifa wa biashara kupitia mtandaoni na mpango wa kitaifa kuhusu akili-unde wa mwaka 2025-2030. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive