23 Oct 2026 10:16 am | Citizen TV 1,343 views Duration: 1:15 Siku chache baada ya Rais William Ruto kuzindua ujenzi wa hospitali ya Level 5 mjini Kitale, Kamati ya afya ya bunge la kaunti ya Trans Nzoia imetangaza kuunga mkono mradi huo.