Skip to main content
Skip to main content

Kamati ya seneti ya kilimo, mifugo na uvuvi yaanza ukaguzi wa utekelezaji wa miradi ya kilimo

  • | Citizen TV
    199 views
    Duration: 1:53
    Kamati ya seneti ya kilimo, mifugo na uvuvi yaanza ukaguzi wa utekelezaji wa miradi ya kilimo katika serikali za kaunti, ikianzia Kaunti ya Samburu. Kamati hiyo yakutana na Gavana Jonathan Lati Lelelit pamoja na maafisa wa kaunti kujadili mgao wa fedha kwa sekta ya kilimo, maendeleo ya miradi mbalimbali na changamoto zinazokwamisha utekelezaji wake. Maseneta wahimiza matumizi ya uwajibikaji wa fedha za umma na utekelezaji bora wa miradi ili kuimarisha usalama wa chakula na kuinua maisha ya wakazi. Kamati hiyo pia yapanga kutembelea maeneo ya miradi ili kujionea maendeleo yake kabla ya kutoa mapendekezo ya kuboresha utoaji wa huduma.