- 137 viewsDuration: 3:16Huku mgomo wa madaktari ukiendelea katika hospitali za umma nchini, wakazi wa Kajiado kaskazini wamepata afueni baada ya kambi ya matibabu ya bure kuwapa huduma mbalimbali za afya. Kambi hiyo imetoa huduma mbalimbali zikiwemo upasuaji mdogo pamoja na elimu ya kiafya.