21 Oct 2026 1:13 pm | Citizen TV 487 views Duration: 1:18 Kamishna wa Kaunti ya Embu, Morris Wanyonyi, ameamuru baa na maduka ya pombe yasiyosajiliwa katika maeneo ya mashambani kufungwa mara moja, katika juhudi mpya za kukabiliana na pombe haramu.