Skip to main content
Skip to main content

Kamishna wa Uasin Gishu awaonya wazazi kuhusu malezi ya watoto wakati wa likizo

  • | Citizen TV
    721 views
    Duration: 1:42
    Kamishna wa kaunti ya Uasin Gishu Dkt.Eddyson Nyale,ametoa onyo kwa wazazi kuwa wanapaswa kuwajibika katika malezi ya wana wao kipindi hiki cha likizo ndefu,na mzazi atakayepatikana kutelekeza majukumu yake atakabiliwa kisheria.