Skip to main content
Skip to main content

Kampuni za Airtel na Safaricomzapewa siku 2 kutoa taarifa kuhusu kutoweka kwa Mutava

  • | Citizen TV
    63,946 views
    Duration: 1:13
    Mahakama Kuu mjini Machakos imezipatia kampuni za mawasiliano Airtel na Safaricom siku 21 kutoa taarifa kuhusu kesi inayohusisha kutoweka kwa mfanyabiashara wa Mlolongo Jimmy Mutava.