23 Oct 2026 10:13 am | Citizen TV 384 views Duration: 1:05 Huku visa vya ugonjwa wa Ebola vikiendelea kuongezeka nchini, kanisa la kiangliana limeitaka serikali kuweka mikakati zaidi ya kuzuia msambao wa maradhi hayo nchini.