Saba kati ya wakenya kumi hawako kwenye njia nzuri ya kustaafu, kwasababu ya ongezeko la gharama ya mahitaji ya nyumbani, mapato yanayobadilika badilika na ulpaji wa madeni ambavyo vinaathiri uwezo wao wa kuweka akiba za kuwasaidia wakati wanapostaafu.Ripoti mpya ya kampuni ya SanlamAllianz inaonya kwamba licha ya ongezeko la kampeini za kuelimisha kuhusu umuhimu wa kujipanga kustaafu,Wakenya wengi wanasalia kutojiandaa kifedha kwa maisha baada ya kustaafu.Kwa habari Zaidi hapa ni mkusanyiko wa habari za biashara.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive